Kimamasa

Kimamasa ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wamamasa kwenye kisiwa cha Sulawesi. Mwaka wa 1997 idadi ya wasemaji wa Kimamasa imehesabiwa kuwa watu 100,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimamasa iko katika kundi la Kisulawesi-Kusini.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search